First Care After Trauma -Swahili

Course Type: Other

 How to access and use Ethics Point for reporting.


 

Course Type: Other

Overview of Child Protection Standards 

Course Type: Other

SRP

Course Type: Other

Ulinzi wa Watoto: Utunzaji wa Kwanza Baada ya Kiwewe, Sehemu ya 2 

Sehemu ya 2 kati ya 2 ya mafunzo kwenye kompyuta ambayo yanawapa wafanyakazi wa kanisa na waliojitiolea uwezo wa kuwasaidia watoto katika jamii zao kupona kutokana na kiwewe.

 

Ulinzi wa Watoto: Mafunzo ya Utunzaji wa Kwanza Baada ya Kiwewe ni pamoja na kozi mbili kwenye kompyuta na warsha tatu za mtandaoni. Warsha za mtandaoni zitaratibiwa na kusimamiwa na mfanyakazi katika Ofisi za Taifa za Compassion. Ili kupokea cheti kwa mafunzo haya, wanafunzi watahitaji kukamilisha vipengele vyote vya mafunzo.

1.      Utunzaji wa Kwanza Baada ya Kiwewe, Sehemu ya 1 (kozi)

2.      Warsha ya Mtandaoni 1

3.      Utunzaji wa Kwanza Baada ya Kiwewe, Sehemu ya 2 (Kozi) – Upo Hapa!

4.      Warsha ya Mtandaoni 2

5.      Warsha ya Mtandaoni 3 – Cheti

Cheti kitatolewa ndani kulingana na ukamilishaji wa kozi kwenye kompyuta na ushiriki katika warsha za mtandaoni.

 

Mafunzo ya Utunzaji wa Kwanza Baada ya Kiwewe

·       Utunzaji wa Kwanza Baada ya Kiwewe, Sehemu ya 1

·       Warsha ya Mtandaoni 1

·       Kozi Hii: Utunzaji wa Kwanza wa Kiwewe, Sehemu ya 2

o   Kitengo cha 6: Kuanzisha Kikao cha Kusikiliza

o   Kitengo cha 7: Mawasiliano Yasiyo ya Mdomo

o   Kitengo cha 8: Mawasiliano ya Mdomo

o   Kitengo cha 9: Kuuliza Maswali na Usikilizaji kwa Bidii

o   Kitengo cha 10: Kukamilisha Kikao cha Kusikiliza

o   Shughuli za Kabla ya kuanza Warsha ya Mtandaoni Kujizoeza Stadi zisizo za Mdomo na Zenye Mdomo

·       Hatua Inayofuata: Warsha ya Mtandaoni 2

·       Warsha ya Mtandaoni 3 – Cheti

Warsha za mtandaoni zitaratibiwa na kusimamiwa na mfanyakazi wa Compassion katika nchi yako. Cheti pia kitatolewa ndani.


Course Type: Other

Ulinzi wa Watoto: Utunzaji wa Kwanza Baada ya Kiwewe, Sehemu ya 1

Sehemu ya 1 kati ya 2 ya mafunzo kwenye kompyuta ambayo yanawapa wafanyakazi wa
kanisa na waliojitiolea uwezo wa kuwasaidia watoto katika jamii zao kupona kutokana na kiwewe.

Ulinzi wa Watoto: Mafunzo ya Utunzaji wa Kwanza Baada ya Kiwewe ni pamoja na kozi mbili kwenye kompyuta na warsha tatu za mtandaoni. Warsha za mtandaoni zitaratibiwa na kusimamiwa na mfanyakazi katika Ofisi za Taifa za Compassion. Ili kupokea cheti kwa ajili ya mafunzo haya, wanafunzi watahitaji kukamilisha vipengele vyote vya mafunzo.

1.      Utunzaji wa Kwanza Baada ya Kiwewe, Sehemu ya 1 (Kozi) – Upo Hapa!

2.      Warsha ya Mtandaoni 1

3.      Utunzaji wa Kwanza Baada ya Kiwewe, Sehemu ya 2 (kozi)

4.      Warsha ya Mtandaoni 2

5.      Warsha ya Mtandaoni 3 – Cheti

Cheti kitatolewa ndani kulingana na ukamilishaji wa kozi kwenye kompyuta na ushiriki katika warsha za mtandaoni.

 

Muhtasari wa Mafunzo

·       Kozi Hii: Utunzaji wa Kwanza Baada ya Kiwewe, Sehemu ya 1

o   Utangulizi wa Safari ya Utunzaji wa Kwanza Baada ya Kiwewe

o   Kitengo cha 1: Kutambua Athari za Vidonda
vya Hisia

o   Kitengo cha 2: Fafanua Utunzaji wa Kwanza

o   Kitengo cha 3: Kuamua Kuingia kwenye Uhusiano wa Kusaidia

o   Kitengo cha 4: Utayarishe
Moyo Wako

o   Kitengo cha 5: Jitayarishe Kusikiliza

o   Shughuli: Kushiriki Hisia Zako

·       Hatua Inayofuata: Warsha ya Mtandaoni 1

·       Kozi: Utunzaji wa Kwanza wa Kiwewe, Sehemu ya 2

·       Warsha ya Mtandaoni 2

·       Warsha ya Mtandaoni 3 – Cheti

Warsha za mtandaoni zitaratibiwa na kusimamiwa na mfanyakazi wa Compassion katika nchi yako. Cheti pia kitatolewa ndani.

 


Course Type: Other